Taavid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 8,336
- 71,163
Hao ndio wanakuaga mama mkwe wenye midomo , kitu kidogo anataka mwanae arudi[emoji16][emoji16][emoji16]Hapana,nilimchukua na dogo kabisa nilikuwa naishi nae
Vile tu mama hapendi niishi mbali nae bila sababu[emoji3]
Nilimuuliza kwanini umenifuate?? Akaniambia Silali nawawaza tu wanangu[emoji7]