Vituko mitandaoni. Tupia chako

Shukrani sana kiongozi.
Mi napenda sana furaha, kwahiyo napendelea kushare vicheko ili angalau tusahau kwa muda changamoto zetu za maisha.

Asante sana[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hakuna kitu kinakera....umeshiba zako huko,unarui nyumbani umetulia,halafu anakuja mtu anakuambia nipikie njaa inaniuma[emoji34][emoji34]
Hakuna kitu kinakera kama kumuomba mwanamke akupikie chakula wakati ndo kwanza amemaliza kula.
Anaringa huyo [emoji24][emoji24][emoji24][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…