Vituko mitandaoni. Tupia chako

View attachment 1893663
Hayo ndio maamuzi ya biashara
Ni ya kubahatisha. Risk taking ndiyo msingi mkuu. The bigger the risk the bigger the reward (ende vaisi vesa)...Kuna walionunua MySpace ikawafia. Hata Nestscape...Mbali na mfumo bora wa kibiashara kuna element ya bahati na hasa timing...right move at the right time...kama hawa vijana walioanzisha WhatsApp miaka michache tu wakaja kumuuzia Zuckerberg kwa dola bilioni 19. Telegram walichelewa kidogo tu yaani....
 
Mimi hata tuishi Nchi tofauti siwezi nina kinyaaa yaani naona kabisa hii mali yangu jana ilikuwa sehemu fulani au leo mwenzangu yupo kifuani huko aiseee siwezi[emoji51][emoji51]
Mpendwa una wivu mkali eeeh! Lakini si dini inaruhusu? Mmeo ikitokea akacheat na ukajua utafanyeje? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Acha kuwaza mapenzi,waza ufanye vipi hili upate pesa[emoji16]
 
Dah we acha tu mkuu sijui itakuwaje nakumbuka niliwahi kumuuliza Mother aliwezaje kuishi akiwa mke Mwenza tena yeye wa kwanza na wenzie wawili alicheka na kunambia we si Mwanamke [emoji51][emoji51]
Yaani wanaume hawaeleweki,.....anaweza asiongeze mke,lakini huko mitaani kawapanga foleni[emoji39]

Yaani mie bora nisijue machafu yake,maana[emoji3061]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…