Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Siku utajikuta upo shimoni,washakufukia,sijui utafanyaje[emoji41]
FB_IMG_16290051052563548.jpg
 
Sharti moja la ndoa ni honeymoon.
Honeymoon ni mapumziko ya kulana[emoji23]

Itakuwaje ulale kwenu wakati mwenzako alishasubiri sana ale mzigo kihalali?
Itabidi tu akubaliane na hili sharti kabla ya,,,,,,,,,,,,,,,[emoji3064]

Hii hali ya kila kiumbe kinajua leo unaenda kuvilingishwa[emoji23]sio poa
 
Arsenal ni jahazi linalozama au linazamishwa?Timu ambayo imekuwa miaka yote inauza chipukizi tu,wana academy nzuri ila sasa kwa soka la leo ukitaka na makombe hao chipukizi wakikua usiwauze sana mwisho wake kila mwaka utategemea udhalishe wengine mpaka waje kuzoea inataka muda wenzao wanasajili top wao wanasajili chipukiziView attachment 1892608
[emoji51]
FB_IMG_16290088780567222.jpg
 
Back
Top Bottom