Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Mizigo shekhe !!!
Namkubali sana huyu Ostaadh [emoji16]
Mizigo shekhe !!!
Amejitia kovu la kudumu bure tu [emoji51][emoji51]
Uwiiii! Nipo Mtumishi. Kwema huko?Mtumishi upo? Nimekuhamu
Uwiiii! Nipo Mtumishi. Kwema huko?
Happy Sabbath Mtumishi
Wasabato tuko vizuri sana kwenye hiyo sekta mtumishi [emoji16][emoji16]Happy Day.
Nimeambiwa eti hadi kwenye picha mnacomment "looking good in Jesus name"
Wasabato tuko vizuri sana kwenye hiyo sekta mtumishi [emoji16][emoji16]
Mkuu we msabato??Wasabato tuko vizuri sana kwenye hiyo sekta mtumishi [emoji16][emoji16]
Mtumishi wa Mungu anapitia wakati mgumu [emoji16][emoji16]
Nitapambana nikuhamishe nikutoe kwenye ulokole uje kwenye Uadventista Usabato. Hutajuta Mtumishi [emoji16][emoji16]Kweli mpo vizuri, hamtaki kumpa shetani nafasi. Mungu awabariki
Angalia tu usiniharibie mkuu [emoji16][emoji16]Mkuu we msabato??