Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hii sio fair, huyo amekamatwa kwa kutenda kosa lakini sheria bado inamlinda na ana haki pia, ni mahakama pekee ndio yenye kuprove mtu kuwa na hatia lakini sio kwa chombo chochote kutesa au kuonea mtu ambae haijathibika kuwa ana hatia!
Kuna mdau hapo juu kasema ni sawasawa.. [emoji848][emoji2984][emoji2827]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…