Tetragrammaton
Member
- Jul 20, 2021
- 22
- 161
Kigoda cha Mwalimu


Kuna sala maalumu ya kuvunja muunganiko huu ila ni ya kikristo
Hawa wanaoharibu mali za umma kwa makusudi siku akidakwa mmoja,naamini hatukuja kutokea mwingine wa kuandika.
kila kitu kipo salama mkuu naona mnasongesha sisi majukum tu yanabanaMkuu umebadili avatar kidogo nikusahau. Kitambo sana imekuwa. Natumaini kila kitu kiko salama![]()

Mume wake alikuwa anapenda sana paka hivyo na yeye akaamua kujibadilisha ili kumridhisha. Ajabu mume aliamua kumpiga chini na talaka yao ilikuwa mshike mshike. Mama alilipwa $2.5 billion kwa vile walikuwa mabilionea.Halafu huku utakuta mtu anatumia shilingi elfu moja eti afanane na Beyonce View attachment 1891988
Hivi yule wa kwetu wa dimpo katumia kiasi ganiHalafu huku utakuta mtu anatumia shilingi elfu moja eti afanane na Beyonce View attachment 1891988