Sinema inaburudisha
Hii sio fair, huyo amekamatwa kwa kutenda kosa lakini sheria bado inamlinda na ana haki pia, ni mahakama pekee ndio yenye kuprove mtu kuwa na hatia lakini sio kwa chombo chochote kutesa au kuonea mtu ambae haijathibika kuwa ana hatia!Mlinzi wa amaniView attachment 1891611