Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,236
- 31,197
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
My wife gotta read this.Wanaume mpo? Habari ndo hiyo. Angalau mabao 21 tu kwa mwezi. Saratani ya Tezi dume chali [emoji1545]
View attachment 1888415
Yeah[emoji106]
Yaani nikifa leo wataona aibu maana daftari la madeni lipo chini ya meza ya sebureni. Mliomo humu mnilipe kutoa wanangu ambao wenyewe wakijua wanadaiwa wananitumia mess.Mpaka unaonekana wewe kituko. Huwa naapa sikopeshi tena lakini by nature wengine tunaamini hata uongo mweupe.
wadaiwa wangu kama mnasoma huu uzi mje mniletee pesa yangu.
Address au namba ya simu? [emoji2369][emoji2369][emoji2369][emoji2369]Nakuja waifu tu bi....Na wazee wa kuja nao wapo...[emoji8][emoji8][emoji8]
View attachment 1885858
Ndiyo matunda yao pendwa.Nikiona tu parachichi nakumbuka Wanyaki sijui kwa nini [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1885861
Eti airforce one, imekuwa ndege ya Biden.[emoji16][emoji16]View attachment 1887655
[emoji23][emoji23]uyo mchepuko akipigwa msumali na alivyokaa atajinyea kabisa
Mambo ya pimp ma ride[emoji16]Pickup stout View attachment 1886100
[emoji106][emoji106][emoji1474] Si unajua enzi za kishule shule tena.
Mbona unaongea maneno mazito hivi; kulikoni mpendwa?Yaani nikifa leo wataona aibu maana daftari la madeni lipo chini ya meza ya sebureni. Mliomo humu mnilipe kutoa wanangu ambao wenyewe wakijua wanadaiwa wananitumia mess.
Kumbuka humu wengi tunatumia pseudo names lakini tunawasiliana.
JF imenipa watoto wakuniimbia Pambio kama la mwendazake nikijiondokea. Imenipa wadogo watakao koka moto ili wachawi wasiniibe. I love. Jf
Kwa hiyo Wasukuma ni manyani eeeh!?Dah,embu waacheni wapumzike kidogo..hahahahahView attachment 1888644
Maisha bila unafiki hayaendiMbele ya camera walikuwa wanachekeana kumbe walikuwa kwenye vita mura..[emoji16]
Dunia hii usiamini mtu...awe TAJIRI awe KAPUKU...[emoji3525]View attachment 1888682
Dahh...ingekuwa mimi na game ndo ingeishia hapo,hilo timbwili lake sijui wangeshikia wapi...Kwa hiyo Wasukuma ni manyani eeeh!?
View attachment 1888684