Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

9A950778-190A-482C-81FE-28F3849C2BB5.jpeg
 
Wanaume bora tuwe na ndevu tu! Waache vyovyote watakavyosema sawa. Ukiwa huna ndevu asubuhi ukiosha uso huna tofauti na embe ikioshwa!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji28][emoji28][emoji28] Cc mdogo wangu,
inaonekana anapenda hivyo viatu maana anavyo pair mbili,vyeusi na vyeupe
Viatu vya mabishoo hivyo mkuu [emoji16][emoji16]. Tena anazo pair mbili kabisa, je hana pair ambayo kiatu kimoja unakuta upande mmoja mweusi mwingine mweupe, na kiatu kingine kinakuwa hvohvo?
 
Back
Top Bottom