Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,236
- 31,197
[emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]
Mmmmh, hilo jibu ni noma.
[emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]
Power[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123] Mabula.Kama unamjua huyo kibonge usimsikilize Polepole wala Kibwetere mfufua wafu; na mrudisha misukule. Nenda kachanjwe [emoji16][emoji16]
View attachment 1888155
Mchoraji akiwa ni Ibra Washokera.Wakati si mileleView attachment 1888269
Amina mtumishi.Nchi hii tumebarikiwa sana. Tuna shangazi wa taifa, dada wa taifa na mchungaji wa taifa [emoji16][emoji16]
View attachment 1888341
Power who?Kama unamjua huyo kibonge usimsikilize Polepole wala Kibwetere mfufua wafu; na mrudisha misukule. Nenda kachanjwe [emoji16][emoji16]
View attachment 1888155
Hivi chama ndio Serikali? [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Mbona alipoachana na mkewe wa kwanza hatukusikia chochote
Mmmmh[emoji15][emoji15][emoji15]View attachment 1888366
Wanaume bora tuwe na ndevu tu! Waache vyovyote watakavyosema sawa. Ukiwa huna ndevu asubuhi ukiosha uso huna tofauti na embe ikioshwa!Mnatuchanganya sasa,mara mwanaume asiye na ndevu ni kama emoji,mara wanaufuga ndevu wanawahi kufika kileleni tushike lipi sasa?[emoji28]
هل عندك زوج؟ أريد أن أفعل ماثنا [emoji3064][emoji3064]انا بخير الحمدلله [emoji4]
Mkuu uliwafahamia wapi hao miamba? Uliwaona kwa macho yako? Nakuchukulia kuwa uko under 25. Am I wrong?Power who?
Long time.....
1. Mabula
2. Mwanakuria
3. Iranda
Which is which? [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Umeuliza kwa nani?Power[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123] Mabula.