D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,056
Obviously. Sasa kamanda utaichukiaje hiyo?Nimeipenda hij[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16]Kanajijua [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1865387
Nimechekaaaaaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1865402
Sijui kwanini?[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 1865403
Babu usiniache[emoji6]Nchi ya matukio hii. Moto wa miamala ulipamba moto...watu wakaambiwa waende Burundi...mama akatoa maagizo wizara husika sijui zifanyeje...mara paap Mbowe ndani kwa ugaidi. Twitter na mitandao yote inamwongelea Mbowe. Miamala naona ndo imetoka hiyo. Mbowe ataachiwa na hakuna atakayekumbuka miamala tena hasa kama katukio kengine katafuatia. Bongo !!!
View attachment 1865395View attachment 1865396View attachment 1865397View attachment 1865398
If I just had a gun [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nitajitahidi Mtumishi. Niombee [emoji1545]
Niwekee mkono mtumishi. Pepo la ubahili tokaaa! Faya faya faya pepo la kutokumjali mwenzio tokaaa! Shandala la la la bobolimoku po po po pa pa pa faya faya tokaaaa!Mmh matumizi mabaya ya Watumishi. Sasa kumjali mwenzio hadi ndiyo nikuwekee mkono, khaaaaa[emoji6][emoji6]