Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,360
Wachache sana tutaelewa hapa!















Wachache sana tutaelewa hapa!















Simu zilianza zamani sana, mara ya kwanza kumuona mtu akitumia simu ya mkononi ilikuwa 1992 aliposhuka kwenye ndege uwanja wa Amani Karume International Airport Zanzibar. Mobitel kweli ilianzia kwenye 1992 (Nakumbuka lile tangazo lao la kwanza kabisa ilikuwa na background ya I feel good - James Brown), Zantel ilianza 1997 na tayari ilikuwa na simu za mkononi, nilianza kumiliki simu ya mkononi mwaka 2000.Mara ya kwanza simu zilianza zikiwa na kampuni ya mobitel mwaka1998. Nakumbuka ofisini kwangu nilienda kufundishwa jinsi ya kutumia hiyo simu. Mobitel ilianza na tv ya DTV Mwaka 1992 au 93. Mimi nilinunua TV mwaka 1994 ila wale waliokuwa wanatoka mtoni walikuwa wanaangalia video siyo tv. Radio tulikuwa na Radio TZ kiswahili na kiingereza na mtangazaji wa english channel alikuwa anaitwa Eda Sanga .
Siyo kwamba dereva mwenyewe ni wewe mkuu?
Umeandika kwa hisia sana![]()

hapana mkuu,nimeangalia YouTube alihojiwa huyu mwambaTafuna kitu hicho usiwe boya, utakuja kunishukuru.


hiyo ya mwisho nilimwambia wife akanionesha pale daudi alipomchungulia mke wa uria

