Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,898
- 136,562
Hahahahhahahh kumekuchaHasa kama ni Mpalestina...
View attachment 1857547
Nashukuru ila ua Mengi sikuipata sababu nilikuwa kwenye ofisi ambayo sikuwa na muda wa kusoma magazeti na nikirudi nyumbani hoi hivyo nilimiss most of current affairs sababu tulikuwa hatuna internet ila tulikuwa tunapata kutoka shirika la dini or some sort of na unatuma email halafu postmaster akwambie kama imekwenda au la. Tumetoka mbali.Asante mkuu.
Mi pia nilikuwepo zama hizo kiongozi, nayakumbuka yote hayo.
Nakumbuka tukio la mmiliki wa CTN Al Munir Karim kumkodishia wauwaji Regnald Mengi, kwakuwa tu mswahili naye anaanzisha TV channel.
Ilikuwa mwaka 1992-93.
Kashfa hiyo iliondoka na aliyekuwa kamanda wa polisi D'salaam aliyeitwa Triphon Maji na Aliyekuwa katibu mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani wakati huo Silivano Adeli.
Nakumbuka fainal za kombe la Dunia mwaka 1994 tulijimwambafai kwenye TV channel zetu kupitia ITV.
Da Zu huyo?Usiku mwema.View attachment 1857596
SioDa Zu huyo?
You can't change the past but you can ruin the present by worrying about the future.
Huu ni ukweli angechomwa moto mwanamke pasingekalika kabisa