Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Makabe itufundishe
IMG-20210717-WA0059.jpg
 
Kumbe huyu jamaa ni dereva wa Kampuni ya Newforce na hii picha anasema ilipigwa miaka minne nyuma na dereva mwenzake wakiwa Iringa ambapo alikuwa akiwataarifu abiria kwamba wamefika Iringa kwa ajili ya Chakula na kuchimba dawa,anasema huyu dereva mwenzake baada ya kupiga picha alienda kuiweka kwenye status ya whatsupp na ndio huko anahisi watu waliichukua.

Sasa anasema haya maneno wanayompachikia yanaanza mletea shida hasa kwa wife wake hasa Yale maneno waliyosema"Ndugu abiria mapenzi yananitesa" na pia ndugu na jamaa wamekuwa wakimpigia simu sana kumuuliza wakidhani yeye ndio anaandika.
Siyo kwamba dereva mwenyewe ni wewe mkuu?
Umeandika kwa hisia sana
 
Back
Top Bottom