Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,755
Inaitwaje?Hakuna picha inayofurahisha kama hii kwa wanaomwelewa huyu mtu[emoji28][emoji28]
View attachment 1856389
Kumbe huyu jamaa ni dereva wa Kampuni ya Newforce na hii picha anasema ilipigwa miaka minne nyuma na dereva mwenzake wakiwa Iringa ambapo alikuwa akiwataarifu abiria kwamba wamefika Iringa kwa ajili ya Chakula na kuchimba dawa,anasema huyu dereva mwenzake baada ya kupiga picha alienda kuiweka kwenye status ya whatsupp na ndio huko anahisi watu waliichukua.
[emoji23][emoji23][emoji23],,Mambo ya namba za kirumiKajiripue mkuu tuje kusoma
Hapana.Kufungua kinywa [emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1856811
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]we si ndio wale wa kishua.Hapana.
You made my day
Hesabu Kali,ukilewa unatuma tuWametuwahiView attachment 1856253
Kasepa na kijiji