Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Hahaha nimecheka mpaka mbege yangu yote nimeimwaga na ya mdomoni nimetema[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji2][emoji2][emoji2]Kigodoro [emoji16][emoji16]
View attachment 1857131
Jogoo akataga yai[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Uwezi kupanda bangi...halafu uote mchicha.View attachment 1856653
MeninerWanabadilisha mpaka Biblia ili kuondoa pronouns za she/he ~ her/him. Hata Mungu eti hatakiwi kurejelewa kama He/Him bali inabidi itafutwe pronoun ambayo ni gender neutral. Yaani hawa jamaa wanaopromoti mambo ya ushoga na mkanganyiko huu wa gender sijui hata lengo lao ni nini.
View attachment 1857100View attachment 1857101
Penzi la BABA linaisha?Aaaah waaapi!!!.....siwezi kuacha kunyonya yaan,....wanasemaga penzi la mama haliishi[emoji7]
Lishaishaga kitambo sana,..nalikumbuka sana kila leo.....hayupo Duniani.Penzi la BABA linaisha?
Pole sana mpendwa mawardatLishaishaga kitambo sana,..nalikumbuka sana kila leo.....hayupo Duniani.
Ahsante,kitambo sana,...kipindi hicho naona Unaongopewa baba kasafiri atarudi.kumbe washamzika..na ukishajua kafa unachukulia poa tu,akili za kitoto...vile unavyozidi kukua ndio unaelewa sasa na kulia kila leo[emoji23].Pole sana mpendwa mawardat