Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

.
tapatalk_1582591744224.jpg
 
Kwa Moyo wa dhati kabisa niwapongeze wanywa Bia na Wavuta Sigara popote pale walipo..
Wamelipa Kodi miaka yote kwa Uzalendo mkubwa bila malalamiko na Nchi ikafikia Uchumi wa Kati.
Serikali ikaona iwapunguzie kidogo kwenye local beers Kama Bakshishi,na ikatengeneza Kodi ya Kizalendo....
Wanywa Chai, Soda Na Juice Sasa, Nchi Haikaliki... Malalamiko tu...

Watumiaji wa miamala ya simu waige moyo wa kizalendo ya wavuta sigara na wanywaji wa bia.
 
Back
Top Bottom