Vituko mitandaoni. Tupia chako

Bia zimepunguziwa kodi. Tuhamieni kwenye bia achaneni na miamala. Kila ukitaka kutuma pesa nenda ukapige bia badala yake.View attachment 1854992


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ujugu ArenaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wataishia kumili smatphone za kugoogle maisha ya wengine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Cjui anapata taabu sana akiwa waaapi!!!?
Wana roho mbaya sana.
Wanapoteza muda ambao walitakiwa wautumie kutafuta hela, wanautumia kutafuta maisha ya wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…