Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Chura siyo kitu, utapata baadaye.Hapa[emoji6]
Hawa jamaa kuna hatari wakafia uwanjani, loh[emoji849][emoji849][emoji849]
Mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo
[emoji23][emoji23]Na hasa kama ana bifu naye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wajinga sana
Chura katapata kakikua kua huko mbele ya safari [emoji16][emoji16][emoji16]Chura siyo kitu, utapata baadaye.
Kwa sasa dimples[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nifundishe[emoji23][emoji23][emoji23]Akipenda nitamfundisha njia rahisi ya kupata chura[emoji23][emoji2089][emoji2089]
Kwa hiyo Mtumishi, mimi nitakuwa Freemason?[emoji22][emoji22]Wanyaki kwa misambwanda ni hatari. Ukiona Mnyaki flat screen huyo labda katoka Malawi huko au ni Freemason [emoji16]
[emoji23]sina dimples[emoji3]Chura siyo kitu, utapata baadaye.
Kwa sasa dimples[emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa msukuma[emoji23]Msukuma? [emoji15][emoji15][emoji15]
Usijali[emoji16]Kuanzia sasa ukiposti kule kwenye kuselfika nitag please [emoji16][emoji16][emoji16][emoji91]
Fisadi wako ni shujaa wa mwingine (and vaisi vesa). Usifikiri wote walioingia (hawajapelekwa) barabarani ni wajinga!
Na Zuma wala hajahukumiwa kwa ufisadi. Amehukumiwa kwa kuidharau mahakama baada ya kutokwenda kusikiliza shauri lake. Na ana sababu za msingi zana kutokwenda. Kuna jaji ambaye ni adui yake na alitaka huyo jaji aondolewe katika jopo la majaji waliokuwa wamepangwa kusikiliza kesi yake. Na hii ni haki ya mshitakiwa. Jaji alikataa kujitoa naye Zuma akasema nami siendi kwa sababu hakutakuwa na haki. Kwa hivyo wengi wanaona Zuma kaonewa na haki zake za kikatiba zimevunjwa kwa vile tu ni mweusi. Angekuwa ni mzungu asingefungwa kwa sababu kimsingi hana kosa.
Kilichompeleka gerezani hakihusiani na ufisadi !!!
Kumbe! Sahizi nikipost dakika tano nyingi,nafuta[emoji23]najua utakuwa haujaiona.Niliisevu ile fasta. Nipitwe na dimples na ushungi mimi? Thubutuuu [emoji16][emoji16]
Siyo kweli japo hoja yako ina mashiko kuhusu uamilifu wa sheria kama msumeno unaopaswa kukereza kote kote bila kujali hadhi ya anayekerezwa. Katika uhalisia wake hata hivyo mambo hayako hivyo. Na ishu ya Afrika Kusini kidogo ni tata kulingana na historia yao ngumu waliyopitia hasa hawa weusi. Ati; Angekuwa ni De Klerk au P.W. Botha ndiyo kafanya kosa alilofanya Zuma (ana sababu nzuri tu); ni kweli angefungwa?Sheria ni sheria na unapaswa kuheshimu hata wakichoma nchi yote ibaki majivu ila sheria itabaki pale pale, yeye ana mahela ya kutosha ya kuajiri jopo la mawakili wampambanie, hivyo haipaswi makajamba wote waingie barabarani na kupora, huu upumbavu hata hapa Kenya huwa tunakua nawo mara moja moja eti tukihisi kiongozi fulani kadhulumiwa tunaanza uporaji, huyo unayempora mtaji wake na kumrudisha zero kisa ujinga wako wa kuabudu mungu mtu.
Nitakuja PM kulia lia na kubembeleza mpaka unipeKumbe! Sahizi nikipost dakika tano nyingi,nafuta[emoji23]najua utakuwa haujaiona.
Utakuwa umetokea Malawi kama kweli huna msambwanda mtumishi [emoji16][emoji16]Kwa hiyo Mtumishi, mimi nitakuwa Freemason?[emoji22][emoji22]