Vituko mitandaoni. Tupia chako

Unafikiri huyu jamaa ni kabila gani? Mimi nadhani ni Mnyaki baada ya kuuza maparachichi yake [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1823709
Sasa hapo ashikwe na tumbo la kuendesha ndio atajua kuwa hata benki zina matawi lakini nyani na ngedere hawayadandii!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Asante kwa ufafanuzi mkuu
 
View attachment 1824090
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Huyu hata Mbeya hatufiki wallahi. Nitamshusha tu humo njiani na kwenda kumbomoa usiku kucha. Halafu mabonge haya yalivyo mapole sasa....mwili soft wa motooo usipokuwa mwangalifu hata dakika mbili humalizi ng'wanawane [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…