Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,821
- 57,420
Kwahiyo mrembo akachagua mume mwenye V8?😀😀😀Nilishuhudia mtanange huu wa waoaji kwa mtoto wa mjomba nilishangaa sana. Waoaji walikuwa wanapambana mpaka ng'ombe wakafika 85 na pesa laki 8. Kisa tu binti alikuwa cheupe, toli, kasoma (A'level) na umbo lake la haja. Ila wote walikuja kuzidiwa na jamaa mmoja aliyeingia na gia ya vieite na makorokocho mengine.
Nina wasiwasi huyo binti atakuwa alipotoshwa, unaachache ng'ombe ambazo ni utajiri uende kwa mwenye V8🙆
Poor her 😂😂


