Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,839
- 7,924
Uto km uto
Pacha WA machinga.
Mkuu naomba nikutafutie kwa sasa sina ila nitaupata soon nakutumia...Naiomba mkuu kama unayo. Mwakipesile ndiye ametawala Playlist yangu hasa nikiwa katika masafa marefu yaani ni upako tosha huko barabarani. Yuko vizuri sana huyo mtumishi na huduma yake inabariki wengi na si Wanyaki peke yenu.
Salama mzima weye?Salaam mkuu Khantwe
Mi mzima best, umepotea sanaSalama mzima weye?
NipoMi mzima best, umepotea sana
Akipewa huo mkopo utamnufaisha yeye binafsi na familia yake kulipa watalipa waganda...umesahau kwamba mzee ni dictator,maslahi yake binafsi ndo jambo muhimu mambo ya nchi baadae..Hela zenyewe za mkopo, afadhali ningekuwa hela za bure.
Upumbavu mtupu
Mara nyingi wanawake wanapenda sana kutoa vitisho baada ya miscall mbili au tatu hivi.
Akiona muamala wa mpesa anabadirisha uamuzi pumbavu sana![]()






Mnyaki (tena wa Tokyo) nikupe siri zetu kha! Why? When? How?Huyo binti hakuwa na mchumba wake specific? Au mnaambiwa kwa fulani kuna binti, wachumba wajitokeze ku-compete au inakuwaje?

Asante sanaMkuu naomba nikutafutie kwa sasa sina ila nitaupata soon nakutumia...



Uandae na Lori la kubebea ng'ombe zako, nina uhakika hizo ng'ombe 200 utapata. Chezea wasukuma kwa mwanamke mrembo weye 😋😂😂Mwenye ngo’mbe 200 ataning’oa😁