Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_20210617_185612_156.jpeg
 
Ngoja nimwite SHIMBA YA BUYENZE akusikie
Ila tuseme ukweli tu mkuu. Sisi kusoma tulichelewa. Mazingira yetu jangwa jangwa wazungu hawakupapenda. Badala yake wakavutiwa na hali ya hewa ya baridi baridi huko Kilimanjaro, Unyakyusani na huko Uhayani. Kama siyo Nyerere kuanzisha utaratibu wa kuchanganya vijana wakati wa boarding school wengi wetu tusingesoma. Imagine mimi O level nilibebwa kutoka Shinyanga na kwenda Iringa halafu A level nikapelekwa Bukoba...

Mambo yameanza kubadilika hata hivyo na sasa tunasoma. Hata ukipita huko vijijini unaweza kuyaona mabadiliko japo safari bado ni ndefu...

Kinachonishangaza ni hawa Wanyaki. Kusoma wamesoma lakini ushamba karibia wanatutoa knockout. Why? Wangekuwa hawajasoma ingekuwaje?
1688590_WhatsApp_Image_2018-02-14_at_18.38.27.jpg
 
Ndiyo utasahau na kurudi kwenu hivyo, manake niwajuavyo ndugu zetu kila wakikuangalia watakuwa wanashindana dau la Ng'ombe.

Madilisha akitaja ng'ombe 100, Mashimo yeye anataja 120 wakati Masanja anataja 150 ili mradi wakupate
Nilishuhudia mtanange huu wa waoaji kwa mtoto wa mjomba nilishangaa sana. Waoaji walikuwa wanapambana mpaka ng'ombe wakafika 85 na pesa laki 8. Kisa tu binti alikuwa cheupe, toli, kasoma (A'level) na umbo lake la haja. Ila wote walikuja kuzidiwa na jamaa mmoja aliyeingia na gia ya vieite na makorokocho mengine.
 
Hakunaaaaaaaaaa. Sisi hata hatuwakaribii kwa ushamba aisee
Ila tuseme ukweli tu mkuu. Sisi kusoma tulichelewa. Mazingira yetu jangwa jangwa wazungu hawakupapenda. Badala yake wakavutiwa na hali ya hewa ya baridi baridi huko Kilimanjaro, Unyakyusani na huko Uhayani. Kama siyo Nyerere kuanzisha utaratibu wa kuchanganya vijana wakati wa boarding school wengi wetu tusingesoma. Imagine mimi O level nilibebwa kutoka Shinyanga na kwenda Iringa halafu A level nikapelekwa Bukoba...

Mambo yameanza kubadilika hata hivyo na sasa tunasoma. Hata ukipita huko vijijini unaweza kuyaona mabadiliko japo safari bado ni ndefu...

Kinachonishangaza ni hawa Wanyaki. Kusoma wamesoma lakini ushamba karibia wanatutoa knockout. Why? Wangekuwa hawajasoma ingekuwaje?
View attachment 1821996
 
Huyo binti hakuwa na mchumba wake specific? Au mnaambiwa kwa fulani kuna binti, wachumba wajitokeze ku-compete au inakuwaje?

Back
Top Bottom