Nyoooo, hatununui papaya, miwa, mihogo mchicha nk. Mchai chai ndo usiseme, ukiwa na kibustani chako tusitiane ujinga bana
Acha tujipe moyo tusio na magari. Tutaelewana tu mkishavuka 30; wakati huo men are dogs haziwaishi mdomoni [emoji16][emoji16][emoji16]Nyoooo, mnajipa moyo tyuuh
Shida kubwa ni huruma yao tu...hawajui kumnyima mtu yaani [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23]pole mamii, vimeo vinaharibu sana ratiba ya kurudi chuo!Staki kumbuka time ile nilivopata sup, niliondoka nyumbani kesho yake asubuhi bila hata kuaga kurudi chuo,
Sisi wengine tunazikwa na kimkeka chetu tu au tunapigwa kiberiti kabisa...ila kifo hovyoooo [emoji51][emoji51][emoji51]
Nazidisha kilio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabisa yaani dawa ya mke ni kiwa na pisi kali kuliko yeye. Lazima awe mpole tuu