Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Usipige mwanamke
IMG_20210604_133237_133.jpg
 

niliwahi kuona sehemu fulani mradi fulani wachina walitengeneza vyoo matundu kama Matano hivi on Series bila kuta za kutenganisha then wakazungushia fence tu i mean ule ukuta wa Inje, sijui walikuwa Wanajisitiri vipi in case wameingia zaidi ya Mmoja [emoji1784][emoji1784][emoji1784]
 
Back
Top Bottom