Hii kitu sijawahi kujua kama kweli inauhusiano wowote na mambo ya kitandani. Huwa nakunywa tu lakini sioni tofauti yoyote ya wakati nimekunywa na wakati sijainywa.
Hakuna kufa kizembe ala!
Ugali tutaongeza mwingine. Cha muhimu samaki [emoji16]Daa, samaki mzuri.
Ila huo ugali utashiba Kamanda, mbona ka ugali kama ka wanaume wa Dar hivi
Ni waaminifu na marafiki wazuri sana, ila ule ushamba wa usukumani bado bado kidogo[emoji13]Kwa nini mkuu? Wasukuma wacheke ushamba lakini kwenye mambo mengine huko hawako. Walichelewa sana kusoma lakini sasa ndiyo wanaamka amka kunakucha. Ni waaminifu sana usiwaogope [emoji16]
Vaa barakoa,shuwaini!
View attachment 1815563
Yalimshinda gwajima haya.
Hapo si kweli kabisa......hawako iviWanyaki bana dah [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1814821