Aku tutapigana ndani kama Vip akaishi nae
......mnakuwaga wapole mkikuta mchepuko wa faza haus umesimama kukuzidi ww......Aku tutapigana ndani kama Vip akaishi nae
huu uzi skuiz watu wanajipostia postia tu kila meme wanayokutana nayo hadi unakosa mvuto .

Akuu. Mi nakufua mzee......mnakuwaga wapole mkikuta mchepuko wa Gaza haus umesimama kukuzidi ww......
Nyoooo, mnajipa moyo tyuuh
Staki kumbuka time ile nilivopata sup, niliondoka nyumbani kesho yake asubuhi bila hata kuaga kurudi chuo,