DellaPina
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 1,026
- 3,519
Lewis Hamilton. Mwaka huu hajashinda tittle ya Grand Prix na nimefurahia
Ameshinda Bahrain,Portugal na Spain ila leo kafanya uzembe mwenyewe
Lewis Hamilton. Mwaka huu hajashinda tittle ya Grand Prix na nimefurahia
Teh teh teh teh,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Peleka motox2
Vita vya mapanga..View attachment 1810550
Ndiyo hivyo [emoji23]Khah...!!! Imagine huyu ndio andunje
Ushindweee [emoji16][emoji16][emoji16]
Ushindweee [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1810604
Umeseviwa muuza mihogo, kudadadeq walahiJust imagine jina ambalo Mkulungwa kamsevu mtu apo [emoji2960]][emoji2960]
Hahahahahahaha....nimecheka sanaVita vya mapanga..View attachment 1810550
Leo ndiyo nimepata majibu ya methali ya kidole kimoja hakivunji chawa
Watakula nn mkuu wakati hakuna hata kinachopikwa huko ndani? Labda wale nguo na magodoro tu