Dharau mbaya, huyo huyo anaweza kukutoa ngeu
Duuuh aiseeHaya kazi hiyo hapo, nguvu zako tuView attachment 1810736
Watoto wa siku hizi ni wadadisi sana
Waalimi wanajipa shida sana
moudgulf[emoji16][emoji16][emoji16][emoji849]
Niaje mzee baba[emoji23][emoji23]
Fresh tu mkuu vipi kwemaNiaje mzee baba[emoji23][emoji23]
Ukimuondoa pale Mercedez Benz hamna kitu atafanya trust me. Unaweza mpeleka team kama McLarren uone asishinde hata mbili kwa mwaka. Pale Mercedes wale madereva top 5 wa F1 yeyote ukimuweka pale anatwaa tajiAmeshinda Bahrain,Portugal na Spain ila leo kafanya uzembe mwenyewe
Hii movie niliipendaga sanakwa kweliView attachment 1810848
Hivi huyu ni striker wa klabu gani vile!?