CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,044
Kweli kabisaMONEYVORE

Nakukumbuka mara ya mwisho tulionana Kondoa
Hujakosea aisee dahMaksi zako zimepatikana swali la pili maksi 10 na swali la section B.
Usiulize nimejuaje....!![]()






Hebu jiposti tuone. Wengine hatujawahi kukuona


Aseeee,Sir buyer !View attachment 1805758
Halafu boya linauliza "hivi ni kwa nini wanaume hufa mapema?". Mifano si hii iko wazi kabisa?


. Homo Sapiens ni kiumbe mtata sana. Mara utasikia nipeleke kwa mpalange. Yote haya ya nini?