Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

c9ca3dff6eec4f48c5f685e9214dad7c.jpg
 
Huyu mzee astafishwe kwa maslahi ya umma.

Mke wake kwa sasa RAS mkoa wa Dodoma, yeye apumzike tu.


ATFUTWE MTU AWAPATANISHE KINA NDUGAI.

Na Thadei Ole Mushi.

Ndugai wa 2015-2020 akikutana na Ndugai wa Sasa watapigana hadi Wauane. Hii Sheria ilipita kwenye mikono yake Leo anaishangaa.

Kunahitajika Mtu wa kuwapatanisha Ndugai wa Kipindi Cha JPM na Ndugai wa SSH. Wana ugomvi mkubwa Sana na wanaweza kuuana siku sio nyingi.

Tuombe Mungu wasikutane kabla hawajapatana.

Ole Mushi
0712702602
 
Back
Top Bottom