Huoni ametoka kwenye weusi mpaka kawa mweupe. Hapo ndo utajua lengo la hawa jamaa. Mpaka walitupima mataya (jaws) na facial features. Eti wakagundua weusi mataya yetu na facial features zetu bado kuna sifa za unyani nyani hatujabadilika sawasawa. Pumbavu zao!!!

Huyu mzee amekaa kituko sana

Huoni ametoka kwenye weusi mpaka kawa mweupe. Hapo ndo utajua lengo la hawa jamaa. Mpaka walitupima mataya (jaws) na facial features. Eti wakagundua weusi mataya yetu na facial features zetu bado kuna sifa za unyani nyani hatujabadilika sawasawa. Pumbavu zao!!!

Ni kweli. Ila mambo mengi uliyoyataja yanaelezeka. Ila wazungu walipigilia msumari wa mwisho walipotufanya tuamini kuwa sisi ni viumbe dhaifu. Tangu hapo tumeshindwa kufanya lo lote la maana kujikwamua.Nikitafakari maisha ya Kiafrika na historia hata ya kabla ya ujio wa mzungu, huwa naona kuna ukweli fulani hivi. Hebu tulia ulinganishe baadhi ya makazi duni ya sasa kwenye maeneo ya Afrika ulingaishe na majengo ya karne za kitambo bara Uropa, utaona kunao waliishi vizuri kuzidi ndugu zetu wa leo.
Ujerumani iliyohusika kwenye vita vya kwanza vya dunia inaweza ikagaragaza mataifa mengi ya kisasa Afrika.