Huyo anaambulia sifuri hapoUmeona eeh! Jamaa wanadanganya sana. We umeambulia ngapi?


Daah aisee haya madude kweli eti evolution of man
Hiyo panchi si mchezo, inawezekana mfupa wa pua umepasukaBaby utume na za kutolea....
Huyu atakuwa wa Njombe
🤣🤣🤣Charity begins at home,nitawatetea tu no wayMkuu usiwatetee![]()
Hii haikubaliki kabisaChild abuse...
View attachment 1806846
Inawezekana akawa anatoka Mara,maana niliwahi kusikia kama hapigwi maana yake hapendwi, japo sijawahi pata mtu akanithibitishia hilo
Duuh aisee,ila wengine inawasaidia kulima, kusoma nk
Hapa ndio hawa Jamaa wanatupiga kila leo,tunajidharau wenyewe hatuamini kuwa tunao uwezo zaidi yao.Nikitafakari maisha ya Kiafrika na historia hata ya kabla ya ujio wa mzungu, huwa naona kuna ukweli fulani hivi. Hebu tulia ulinganishe baadhi ya makazi duni ya sasa kwenye maeneo ya Afrika ulingaishe na majengo ya karne za kitambo bara Uropa, utaona kunao waliishi vizuri kuzidi ndugu zetu wa leo.
Ujerumani iliyohusika kwenye vita vya kwanza vya dunia inaweza ikagaragaza mataifa mengi ya kisasa Afrika.