Kirokonya
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 2,280
- 7,557
....hakyaMungu tumelyiwa! ( in Mzee wa Toronto's voice).Ni yale yale ya mtume na nabii kuwauzia waumini wake picha yake au maji ya upako kama ulinzi wao wakati nabii mwenyewe analindwa na makomandoo wenye silaha za kila aina.



