Huyu bora aache shule! 🤣 🤣 🤣 Hasaidiki!
uh


Mchezo huu, lazma nile
Sheetwan wa Selfie hana kusubiri.
Ni yale yale ya mtume na nabii kuwauzia waumini wake picha yake au maji ya upako kama ulinzi wao wakati nabii mwenyewe analindwa na makomandoo wenye silaha za kila aina.Ina maana Mungu wa Israel ni kwa ajili ya Waafrika na siyo Waizirael OG?
Mbona kama Waafrika tumeliwa?