Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

400138500082_432050.jpg
 
Watani zangu Wasukuuma kizazi oooh Sorry [emoji23][emoji23][emoji23]Wasukuma hivi ushamba mtaacha lini kwa hiyo tikiti Dar to kigoma umelishikilia[emoji1]
Sasa tuache ushamba ili iweje tena mpendwa? Mtapata wapi mwingine wa kumtania? Mtageukia Wanyakyusa au Wagogo?

Na afike na tikiti Kigoma, hiyo treni haisimami kwenye vituo? Unatuonea sana mpendwa...[emoji51][emoji51][emoji51]
 
Sasa tuache ushamba ili iweje tena mpendwa? Mtawapa wapi mwingine wa kumtania? Mtageukia Wanyakyusa au Wagogo?

Na afike na tikiti Kigoma, hiyo treni haisimami kwenye vituo? Unatuonea sana mpendwa...[emoji51][emoji51][emoji
Ninacho wapendea watani zangu hamjui kukasirika tunapowatania
 
Back
Top Bottom