Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,698
Nyau na kuku wanafanya yao. Sijui kama ni wa kawaida au wa ulimwengu wa roho.
Kwa Tanzania kila kitu kinawezekana. Si wangemjengea angalau kajumba ka kishikaji kwa ajili ya uzinduzi huu? Roho kama za wanyama!!!
Ikitokea mkafanya hiyo sherehe basi mnikaribishe na miye Msukuma. Cha muhimu tu kuwepo na "ugali" wa kutoshaSijataka kuwaita maana kwa tunavyopenda sherehe; lazima tungeshona sare kwanza ndiyo tuje tupongezane![]()


Boiz 2 men!Kama hivi View attachment 1800469

Apimwe akili huyu
On my side I took 45 seconds
Ikitokea mkafanya hiyo sherehe basi mnikaribishe na miye Msukuma. Cha muhimu tu kuwepo na "ugali" wa kutosha![]()