Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,258
- 13,367
Bashungwa ni yanga damu. Alichokifanya ni kuwapanga yanga kwamba atawaambia tff wasogeze mbele mchezo na yanga wagome. Yote ni kuwaepusha na kipigo cha aibuSiyo mimi ni waoView attachment 1778132
Sent using Jamii Forums mobile app



