[emoji24][emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaaaaz kwelikweli.View attachment 1778117
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaaaaz kwelikweli.View attachment 1778117
Msoma dua alihisi atakufa yeye nini?Kaaaaz kwelikweli.View attachment 1778117
Bwana we hii nimekutana nayo jana bush moja wanapaita bihawana-Dodoma.[emoji16][emoji16]
View attachment 1777659
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Bwana we hii nimekutana nayo jana bush moja wanapaita bihawana-Dodoma.
Somebody kapoteza muda wake kabisa kaandika kwenye ukuta wa choo yafuatayo
Usinawe haya maji utawashwa sana
Cha kushangaza kuna jaba limejaa maji mpaka shingoni,niliganda pale natafakari kama dk 3,5 nilichokifanya na mimi anajua mungu.
Haja iligoma mkuu nikajihisi kama nilishamaliza shida zangu kumbe bado[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ulinawa hukunawa? Ilikuwaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha[emoji23]
Siyo mimi ni wao
Pole aisee [emoji16][emoji16][emoji16]Haja iligoma mkuu nikajihisi kama nilishamaliza shida zangu kumbe bado
Aisee kuna majitu ni majinga mwili mzima nchi hii.
Eti kwa vile huko nyuma ulikuwa umezoea kuiba bila kukamatwa leo umeiba ukakutana na za mwizi arobaini ukakamatwa ndo uanze kulalamika kuwa mbona huko nyuma nilikuwa naiba lakini sikamatwi?. Kha !!!Siyo mimi ni waoView attachment 1778132
[emoji122][emoji122][emoji122]. Tuishi kwa kufuata kanuni na sheria tulizojiwekea. Katika kila nyanja!!!Siyo mimi ni waoView attachment 1778132