Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Na kila mchezo una tension yake si kila mchezo unaweza sogeza sogeza mbele ghafla tu...mechi ingechezwa jana saa 11 CHURA angeliwa kichina ila wamefanya figisu mchezo ubadilishwe tarehe..kajipangeni tena na TFF yenu muache utoto na umama mtatuambia tarehe na mda mnaopenda...Siyo mimi ni waoView attachment 1778132
Huyu ndo tabia yake hii,bila kubakwa hajisikii raha kabisa.Devotha una bahati sana [emoji16][emoji16]
View attachment 1778156
Mechi imeahirishwa hadi liniDevotha una bahati sana [emoji16][emoji16]
View attachment 1778156
Nadhani, ndio maana kasitisha dua.Msoma dua alihisi atakufa yeye nini?