Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

400111900630_58277.jpg
 
Ndiyo. Tukitaka povu tunakwenda huko jukwaa la siasa. Hapa kwa kweli ni mahali patulivu pa kucheka na kurelax. Natamani sana paendelee hivi hivi bila ushabiki wa kisiasa usio na maana wala mambo ya dini. Huyu mchawi wa Kipare ametupatia kijiwe kizuri cha kupumzikia kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]

Sana hadi wapendwa wa humu nimeanza kuwajua nikiona hawajapost najiuliza kunan tena jaman
 
View attachment 1772580
Nikimuona mdada mzuri kama hivi anachoma chapati huwa nalinganisha utamu wa chapati na mbususu yake!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Mimi naanza kuangalia midomo na vidole[emoji23]
 
Father time spares no one. Sasa hivi ni director tu japo pia jamaa bado wanampelekea moto tu as usual. [emoji16][emoji16][emoji16]

Na huyu anayepuliza jani ukiwa unamfahamu, motoni aisee we ndo utakuwa kiwashio [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1772481
Pamoja na uzoefu wangu mpaka kustaafu hawa siwafahamu.

[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom