Rangi inapotea inabaki rangi ya mchuzi.Hawa wakipikwa hii rangi vipi bado utaiona, ama? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nikikuona Jehanamu aisee nitakukimbia. Hufai [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2960][emoji2960] si bado yupo kwenye platforms zingine zile premium bado anakimbiza!! Huyo sikujua kama ni dior dior!!
Moja kwa moja akhera kamanda...na mabikra 72 wasiomaliza ubikra wanakuhusu 100%Hakuna hata mmoja hapo ninaemfahamu! Du, nimesave! [emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Unaambiwa nguvu inayozalishwa katika mgongano huu ni sawa na mgongano wa magari mawili yenye ukubwa wa kawaida yanapogongana uso kwa uso
Asante Minji. Ulale salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Niwatakie usiku mwema nalala nitapita tena kesho
[emoji120][emoji120][emoji120]Niwatakie usiku mwema nalala nitapita tena kesho
Kila mbabe ana mbabe wake. Ni suala la muda tu. Na kifo ndiyo mbabe wa wababe wote. Be humble [emoji1545]