[emoji120][emoji120]Mnaotuma vichekesho nawashukuru huwa nafurahi sana napunguza stress nikiwa nazo kupitia hii
Duh, ni venye ako na rangi chonjo, ndio maana. Angetoka freshi na rangi akiwa kwa sinia! (fotomoto) 🤣 🤣 🤣Rangi inapotea inabaki rangi ya mchuzi.
kwani vipi rangi ina nini hiyo!
[emoji28][emoji28]Nikikuona Jehanamu aisee nitakukimbia. Hufai [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndiyo. Tukitaka povu tunakwenda huko jukwaa la siasa. Hapa kwa kweli ni mahali patulivu pa kucheka na kurelax. Natamani sana paendelee hivi hivi bila ushabiki wa kisiasa usio na maana wala mambo ya dini. Huyu mchawi wa Kipare ametupatia kijiwe kizuri cha kupumzikia kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]Mnaotuma vichekesho nawashukuru huwa nafurahi sana napunguza stress nikiwa nazo kupitia hii
[emoji120]Niwatakie usiku mwema nalala nitapita tena kesho
Mi nishawahi, baada ya kuangalia series ya 'Strike Back' usiku, nakwambia mimi ndio nlkuwa commander wa ile timu, dadeki, sivyo nilivyokuwa namimina risasi! 🤣 🤣 🤣 Hadi wa leo naitamani sana ile ndoto!😂We umeshawahi kuota ndoto kwa kiingereza?
Ndiyo. Tena natoa mhadhara na kimombo kinaporomoka tu chenyewe effortlessly utafikiri maji katika maporomoko ya Viktoria [emoji16]We umeshawahi kuota ndoto kwa kiingereza?
Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji120][emoji120]View attachment 1772561
Fika huko Malinyi, Mbingu, Mahenge, Ngeta, Ifakara, Ruaha, Kiberege Morogoro.Duh, ni venye ako na rangi chonjo, ndio maana. Angetoka freshi na rangi akiwa kwa sinia! (fotomoto) [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Ila nimehisi kama harufu ya Beauty........somebody Dior! Ila poa sio yeye!!Moja kwa moja akhera kamanda...na mabikra 72 wasiomaliza ubikra wanakuhusu 100%
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo. Tukitaka povu tunakwenda huko jukwaa la siasa. Hapa kwa kweli ni mahali patulivu pa kucheka na kurelax. Natamani sana paendelee hivi hivi bila ushabiki wa kisiasa usio na maana wala mambo ya dini. Huyu mchawi wa Kipare ametupatia kijiwe kizuri cha kupumzikia kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
Hapo itabidi nijipe title ya ndugu mtazamaji angalau nitoke na soda pia! 🤣
Ila nimehisi kama harufu ya Beauty........somebody Dior! Ila poa sio yeye!!
Bonge la "line"... Hii yahitaji watoto wa magetini! 🤣 🤣 🤣