Haaaaa Haaaaa 😂Hadi sasa nimeshanunua remote kama 4 hivi, na hiyo ya 4 tayari iko hali mbaya, ufuniko haupo, button zimeshaliwa zimebaki chache!![]()
Au upate mualiko wa kwenda kula ubwabwa ndio unazivaa 🤣 🤣 🤣😂😂😂 nguo za kanisani.
Utotoni kuna nguo huwezi vaa katikati ya week hata siku moja labda waje wageni waheshimiwa.😂
Zinaitwa nguo za kanisani😂
Tena bila huruma kabisa
















