Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mimi ni mmoja wapo wa WALIOFURAHI KUANGUKA KWA KATIBU MKUU huyu
alituvuruga kila kona, alichomeka anayoyajua, akajisahau kuwa cheo ni dhamana
acheni naye yamkute, kuanguka ni kuanguja tu
Huyu ndugu mi binafsi sikikukubaliana naye.
Wanadai eti mjamaa!!! Mjamaa gani anahonga wapizani wake eti waunge mkono juhudi!!?
Si hivyo tu, wakati sheria ya manunuzi ya uma PPRA inafinyangwa ili mtu mmoja achote pesa akanunue ndege bila zabuni yeye alikuwa snachekelea.
Si hivyo tu, wakati haki za binadamu zinakiukwa huyu jamaa hakuwahi kuinua kinywa chake kukemea.
Sijawahi kuona uzalendo wake.
FB_IMG_1619023925622.jpg
 
Back
Top Bottom