Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

f48d63c06a1b78d2b41f1c1a8ec07e75.jpg

Fundi maiko kazini
 
Aione Angel Nylon hii [emoji1][emoji1][emoji1]

Kama hatuwezi kupata wanawake wa Kipemba basi tuunganeni na Rwanda. Wanawake huko ni wengi na inasemekana siyo wagumu sana kuwapata [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Aione my darling Mshana Jr pia. Mbona yeye kanipata. Mwaka wa 8 huu tunadumisha muungano [emoji7][emoji1787]
 
Aione Angel Nylon hii [emoji1][emoji1][emoji1]

Kama hatuwezi kupata wanawake wa Kipemba basi tuunganeni na Rwanda. Wanawake huko ni wengi na inasemekana siyo wagumu sana kuwapata [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Naona tuungane na Rwanda tu, wapemba wabaguzi mno hata posa wakijua umetokea bara hawapokei[emoji22]
 
Back
Top Bottom