Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wanafiki hao. Opportunists tu...

Ushujaa wa mtu hupimwa kwa jinsi anavyopambana na mifumo ambayo hakubaliani nayo. Kwa wenzetu huko serikali uliyomo ikianza kukengeuka na wewe hupendi kushiriki ukengeufu huo basi unaweka msimamo wako wazi na kujiuzulu mara moja.

Hawa wa kwetu hapana. Wanaunga mkono kila kitu halafu mambo yakibadilika nao wanabadilika ghafla na kutaka waonekane mashujaa. Waongo, wanafiki na wachumia tumbo tu!
 
400097500395_505914.jpg
 
Back
Top Bottom