Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Mimi ni mmoja wapo wa WALIOFURAHI KUANGUKA KWA KATIBU MKUU huyuNi kweli kamanda, mwanadamu ni kiumbe aliyejaa hila, choyo, wivu, husda, tamaa nk.
Kuna watu wengi wasiopenda kuona kuinuka kwa wengine.
Wengi tunapenda kuona kuanguka kwao, ilikuwa hivyo pia hata kwa mzee Ali Hassan Mwinyi wakati analazimishwa kujiuzulu uwaziri kwa kashfa zilizofanywa na wengine.
Lakini baadaye akainuka mpaka juu kabisa.
Yaweza kuwa hivyo pia kwa mwingine, lakini ni vema kuyaishi maisha ya siasa kwa adabu. maana hatujui kesho yetu itakuwaje
Mia tisa itapendeza sasa!🤣🤣🤣
Haaaaah Umenikumbusha nilikua namuogopa Mwl Mkuu hata njia akipita sithubutu kuipita. Hata wazazi wetu hawakuwa na miamvuli🙄🙄🙄
Wamemfanya mbogaHatua 3 Muhimu
View attachment 1763780
View attachment 1763783
View attachment 1763784
Uchawi hauendi kwa mentali![]()


😁😁😁 ni michezo gani unaikumbuka kwenye utoto wako?!🤪🤪🤪
![]()