Kirokonya
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 2,280
- 7,563
Duuuh, Hatari sana Mkuu
Kuna shost jirani hapa anakunywa bia kumi na mbili na hatetereki, Kvant anamaliza mzinga na hachanganyi chochote. Anapiga kavu tyu,
Ndo umekuwa na tabia mbaya hivi jirani?
[emoji1787][emoji1787]Rutashobya Rugaimukamu kaingia na BMW nyeusi kama alivyoahidi alipokuwa Geneva [emoji16][emoji16][emoji16]
jogoo Ni lock hiyoEti, huyo jogoo alikuwa na kazi gani?
View attachment 1762082
Huu kweli ni uchunguzi?View attachment 1762036
Kwa uchunguzi mdogo niliofanya, mihogo inalika sana kipindi cha Ramadhan kuliko kipindi chote mwaka mzima.
Kuna watu na viatu.
KuwikaEti, huyo jogoo alikuwa na kazi gani?
View attachment 1762082
Kama ashakum vile!!!
Hapo kuna kitu flani kinachotetea hiyo blindness.....Nahisi kichwa kidogo kitakuwa na size inayostahiliLove is blind[emoji1]View attachment 1741276
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16]kwanini kichwa na sio pochi nene!Hapo kuna kitu flani kinachotetea hiyo blindness.....Nahisi kichwa kidogo kitakuwa na size inayostahili
Uhuru ndio kanenepa hivi au editing?
dah na mimi nasubiri jibu asee[emoji1602]Uhuru ndio kanenepa hivi au editing?